SMS TAMU YA KUMTAKIA SIKU NJEMA SWEET WAKO

najua moyo wangu umekuchagua wewe na kukutumia zawadi hii ili uwelewe kwamba nakupenda sana nakujali zaidi nakudhamini kuliko nakutakia kila lakheri pamoja na dua njema SIKU NJEMA SWEET
++++++++++++++++++++++++++

Post a Comment

أحدث أقدم