SMS ya mahaba ya kimapenzi ya kutakia siku njema

Sms nzuri za mapenzi kwa mpenzi wako - Home | Facebook

Licha ya upole ulionao! Pia upendo wako ndio kishawishi cha kunifanya nikukumbuke siku zote. Jiulize! nina namba za watu wangapi ktk cmu yangu,na bado sijatamani kujua hali zao ila wewe! kwa kuwa, nakuthamini nakukujali, ndiyo maana nakutakia, SIKU NJEMA

Post a Comment

أحدث أقدم