. Hakika uliuteka moyo wangu, nikaamini u wangu peke yangu, nikaziba masikio yangu yote niliyoambiwa na rafiki zangu, kumbe naidanganya nafsi yangu. Its over baby!
................................
. Tangu nilipokufunulia pozi waniletea, mawasiliano yamepotea na kila tupangapo mihadi kwako huwa ngumu kutokea, niweke wazi nijue kama ndiyo mwisho wa penzi letu
.............................
. Hakika mpenzi nimechoka kuvumilia kila siku naishia utamu kuuckilizia njozini unaponijia, najiuliza lini utanivulia niachane na ndoto tele ndotoni zinazonijia?
...............................
. Hivi ni kosa gani nilililokutendea ambalo sipaswi kusamehewa? Ni kweli nilikosea nahitaji kusamehewa mpenzi, plz naomba nielewe kwani sina mwingine zaidi yako wewe. Luv u
.................................
. Hivi kwanini kila siku mimi nimekuwa mtu wa majonzi, niliamini we ndiye wakunifuta machozi kumbe zilikuwa njozi, siamini kama umeniongezea majonzi, asante sana mpnz!
.................................
Post a Comment