Mpenzi tambua wewe ndiye sababu ya huu usingizi, najilaza kwa pozi nikiamini tutakutana kwenye njozi, njozi za kulienzi letu penzi, Nakupenda mpenzi, gn mwaaah…!!
Ni usiku tulivu wenye hali ya hewa saafi na usingizi wa amani ukishika hatamu kuzisafirisha fikra za binadamu katika ndoto! najua umechoka na pilikapilika za mchana ,jua na makelele na kila aina ya mwingiliano wa sauti ,ni wasaa mzuri sasa wakupumzisha mwili na akili yako.amua kumsamehe aliyekuudhi mchana wa leo na pia kumbuka ulipokosea leo ili kesho usirudie,lakini pia jipongeze kwa mafanikio ya mipango yako,fumba macho uikaribie nchi usiyoijua.usiku mwema
•·.·°¯
·.·•*•·.·°¯
·.·
Post a Comment