. Mpenzi najua u-mbali nami, majaribu ni mengi wapaswa kujihami, nitunzia.e zangu zabibu wangu tabibu, jitahidi kuwa mvumilivu nitakuja kukutibu, miss u ma luv.
. Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kuyatibu, napenda jinsi unavyonitibu, huna papara yaani ni taratibu, mpenzi usijemuonyesha mwingine hizo zako zabibu, maswahibu yakatayonisibu hakuna atakayeweza kuyatibu, nakupenda.
Post a Comment