SMS-TAMU-MPYA-ZA-MAHABA


Related imageT.gifSMS ya kumtumia mpenzi wako aliyesahau kuwasiliana na wewe kumkumbusha awasiliane na wewe

Ni yangu mazoea kila cku cm yako
kuipokea kama si meseji
kunitumia
leo naumia kila napo fikiria nini
kimetokea hadi
mawasiliano yetu
yameanza kupotea,sawa tu.naamini hali
ya kawida itarejea
na
majonzi moyoni yatanipotea
nakupenda mpz

🔥♥♥♥


T.gifSMS nzuri kwa ajili ya kumtumia mpenzi wako kumwambia sababu ya kumpenda

mapenzi ni safari,mapenzi ni ahadi,mapenzi ni
ujasiri,mapenzi ni zawadi,mapenzi mitihani,mapenzi
ramani,mapenzi ajali na ndiyo maana nakupenda wewe bila kujali

Post a Comment

أحدث أقدم