TUMIA SMS HIZI KUBORESHA PENZI LENU .

Nakutakia usiku mwema mpenzi | JamiiForums

Wewe pekee upo moyoni mwangu, nitaendelea kukupenda siku zote za maisha yangu! Katika siku hii ya wapendanao, wewe ndiyo ua la moyo wangu!
 *****

 Najua kuna vishawishi vingi sana uko ulipo, lakini nikiwa moyoni mwako, siku hii itakuwa nzuri zaidi kwetu, tupendane daima lahazizi…


 Midomo yako inanichanganya, macho yako yananivutia, umbo lako linaniacha hoi, wewe ni wangu wa ubani siwezi kudanganywa na walaghai…

Post a Comment

أحدث أقدم