Haya Mshindwe Wenyewe Hapa..Tumia Sms Hizi kali Kumtongoza Demu Yeyote Yule..Akikukataa Nenda Ukatambike Baharini.!!!

 




Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda? 
Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni 
mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa 
nakupenda, niamini mpenzi
   *°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka. . . .
upendo ni lugha ,
kwamba kila mmoja anaongea,
upendo hauwez kununuliwa,
na isiyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni 
siri ya maisha matamu
     nakupenda mpenzi
*°·.¸¸.°  ♥  °·.¸¸.°*
"Mimi sitaki kuwa kila kitu kwa kila mtu, lakini napenda 
kuwa kitu kwa mtu.na mtu mwenyewe ni wewe"
nakupenda laazizi
"Kama mimi nilikuwa na maua  kila wakati
mawazo yangu 
yangekuwa juu yako,nisingefikiri wa kumpa mwingine kabla 
yako je wewe ungekuwepo nayo
 ungempa nani kwanza? "

Post a Comment

أحدث أقدم