KAMA HUJAZISOMA SMS HIZI BASI ZICHEKI MDA HUU

 Wanasema mtu huanguka katika mapenzi mara moja, jambo ambalo mimi naliona si la kweli kwa maana kila ninapokutazama najikuta nakupenda tena na tena.

 Mpenzi wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua kuwa rafiki yangu ilikuwa ni maamuzi yangu, lakini kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari yangu. Umeniteka
moyo na akili yangu pia.



Post a Comment

Previous Post Next Post