kama upo mbali na mpenzi wako mtumie sms hizi

 


"Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo,  ndugu zako wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.

"Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie, nimekukumbuka nahitaji kukuona unipoze moyo wangu, 

   njooo mwandani wangu nakusubiri daktari wangu.





Post a Comment

Previous Post Next Post