sms za asubuhi njema kwa mpenzi wako

  Sio Maua yote Huonesha Upendo,

"Ni Waridi pekee"

sio Miti yote Hustawi Jangwani

"ni Mtende pekee"

sio watu wote wanaokukumbuka muda huu ni mm pekee. Uhali gani?

.........................

\ ! ! /,

_- 0 -_

_ -^-_-^-__-^-_

---------------------Jua limechomoza,

Ucku umepita, asubuhi imefika Unapotafakari mema ya Mungu ya siku nzuri ya leo:

Wasamehe waliokukosea, Wapende wanaokuchukia! Wakumbuke waliokusahau na Uilinde Amani ya MOYO wako isipotee, ASUBUHI NJEMA.

....................

 Nakuombea Furaha yako iongezeke kama BEI YA PETROL, Matatizo yako yapungue kama KURA ZA CCM 2015, UMAARUFU wako uzagae kama Bidhaa za Kichina, ADUI zako WAFULIE Kama TANESCO, Shida na Tabu zipotee kama BABU wa LOLIONDO.ASUBUHI NJEMA.

......................................






Post a Comment

أحدث أقدم