USIKU MWEMA MY LOVE.

 Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wa

kushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi wa

upendo na kiherehere cha kuabudu.say Amen! Ucku mwema

mpenz


Giza ndiyo laingia natamani ungekuwepo

nipate kukumbatia, hakika nimechoka mto

kukumbatia nakukesha ndotoni nikikufikiria,

nakumiss dear fanya hima nyumbani

kujongea wazazi wapate kukutambua! Nakupenda dear








Post a Comment

Previous Post Next Post