Meseji za Mahaba

 >>———>>> Mshale huu unamtafuta mtu muhimu sana ktk maisha yangu na kama umekutana naousiukwepe uache uchome Moyo wako gharamaza matibabu juu yangu.

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 

Sioni zawadi ya kukupatia kwa mapenziunayonipatia,moyoni nimekuridhia wewe pekee penzi langu daimakukupatia nakupenda

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

 Hakika kama ni mume MUNGU kanipatia,kuwa nawe najionakama malkia ,nakupenda mpz na daima nitaenzi penzilako

.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•





Post a Comment

أحدث أقدم