Meseji nzuri ya kumtumia mpenzi wako

Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda? 

Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa nakupenda, niamini mpenzi

Post a Comment

أحدث أقدم