SWEET sms

 

Tambua wewe ndiye wangu malkia na hakuna mwingine katika hii dunia ninayemfia zaidi yako, binti umeumbika na una kila sifa, hakika kwako nimefika!


najua moyo wako unasita penzi lako kunipa, lakini nataka uelewe fika mimi kwako nimefika,haya si maneno yakusadikika bali ni yauhakika! Nakupenda na daima nitakuenzi!


Msg nzuri nakuandikia kwakuwa nyimbo nzuri siwezi kukuimbia, maneno ninayokuandikia nataka moyoni yakuingie, nakupenda ewe wangu waridi uliyenitoa kwenye ulimwengu wa baridi! Mmmmh mwaah

Post a Comment

أحدث أقدم