Mchana mwema

 Nipe kile ambacho nakiitaji nipe nami nilidhike nipe bila ya kufikilia nipe bila kujutia nipe kwa kufurahia nipe nipate kutulia nipe nami nikupe sio kingine ila nisalamu .


Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazo kumwagia fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu fungua cm yako uone jinsi gani ninavyo kukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu nakutakia MCHANA MWEMA.


Post a Comment

أحدث أقدم