Usiku mwema mpenzi wangu

 Kanuni za kudumisha "PENZI" Milele. 1.Ukipenda ucpende tena. 2.Penda kwa dhati.3.Mheshimu Mpenzi wako. 4.Kuwa mvumilivu 5.Mjali umpendae 6.Jivunie kuwa nae 7.Ucmfiche jambo 8.Ucpende achukie 9.Unapokosea omba radhi.10.Uckubali kumpoteza (ukifanya hivyo mtapendana milele) nakupenda Sana.

……………………………………………………………..

Mapito ni mengi, ktk maisha... Utaumia, utalia, utahuzunika, utakata tamaa, utavunjika moyo na wakati mwingine kujuta kwanini ulizaliwa, lakini kaa ukijua hayo yote yanatakiwa kuwepo ili, kukufanya jasiri ktk kuzifikia ndoto na malengo yako, usikate tamaa MUNGU yupo pamoja na wewe.UCIKU MWEMA




Post a Comment

Previous Post Next Post