Mchana mwema my love.

 Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi. “NAKUTAKIA MCHANA MWEMA MPENZI WANGU”

 …………..

Siku niliyokutana na wewe kwa mara ya kwanza haiwezi kufutika mpenzi, ilikuwa siku nzuri sana kwangu, siku ya kutambulisha hisia zangu kwako! Ukanipokea na kunikaribisha moyoni mwako! Hakika nakupenda sana mpenzi wangu!





Post a Comment

Previous Post Next Post