Nisamehe dear.

Penzi la kweli siku zote hudumu,penzi la kitapeli haliishi ugomvi,mpenzi wangu leo nimegundua nakukosea na naahidi kubadilika na kuwa mpenzi mpya na bora,nisamehe.

........

Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniacha kuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yako hifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi, amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda.





Post a Comment

أحدث أقدم