Nakupenda mpenzi uwe wangu daima.

 Mpenzi ni safari=unifanye nauli ya moyo, mapenzi ni 

maradhi=unifanye daktari ni kutibu maradhi yako,mapenzi ni 

kiu=niwe maji jangwani,mapenzi ni chakula=nikulishe 

maishani mwako na uwe asali moyoni mwangu

•·.·°·.·•*•·.·°·.·• 

Mila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapo 

huhitaji uwepo wako na hasa nikukumbukapo kumbato 

lako,nakupenda mpenzi





Post a Comment

أحدث أقدم