Nisamehe tu mpenzi wangu.

 Najua una majonzi kwa kuwa uliyempenda kakumwaga machozi kwa kukuacha ungali walihitaji penzi lake, nimekuja mwokozi kukufuta machozi kwakukupa la dhati penzi. Nakupenda mpenzi amini sitalimwaga lako chozi, na daima nitakuenzi.

Najua nimekukosea baby, lakini fahamu kwamba haikuwa nia yangu kukupotezea furaha yako, nipe nafasi nyingine moyoni mwako! Nipe nafasi nyingine maishani mwako! Nisamehe mpenzi wangu!





Post a Comment

أحدث أقدم