Utamu wa penzi hunogeshwa na pendo la dhati pia utamu wa penzi ni uwepo wangu na wako,ladha yake ni zaidi ya nazikwenye wali au royco kwenye mchuzi au pilipili kwenyekachumbari, utamu wake ni zaidi ya asali au jam kwenyemkate ,blueband kwenye uji.penzi tamu halina kifani.
●´¯`´¯`●♥¡¡♥●´¯`´¯`●♥
Nalia ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona ,najuta ninapo kuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya,nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpenzi.
Post a Comment