**************************************
❤ Utakapo ondoka chunga sana kipenzi changu❤, ukumbuke umebeba roho,❤ mwili na maisha yangu. Najua utanimis nami nitakumis sana honey wangu❤. Ukumbuke hakuna wakunitia moyo wala faraja zaidi ya wewe sweety wangu.❤ Sina wakunishauri wala wakunipongeza dear wangu.❤ Uwendako ukibadili maamuzi utaumiza sana mtima wangu.❤
💕Natambua kwako ni faraja ila kwangu maumivu💕. Utakapo ondoka mbaali moyo umekumbwa na wivu.💕 Kua makini na safari yako wasije kukubeba wachovu. 💕Mara chubu mchubuo wakakutoa makovu.💕 Mi nakutegea urudi salama wangu my love💕. Chunga ubishi wa kuni mbichi mkaa kua majivu.💕
FROM: Smart njoine
Post a Comment