MESEJI NZURI ZA MAPENZI KWA UMPENDAYE KWA DHATIm

MESEJI NZURI ZA MAPENZI KWA UMPENDAYE KWA DHATI – My Blog

 ni jibu kwamba kila mmoja anataka. . . .
upendo ni lugha ,kwamba kila mmoja anaongea,upendo hauwez kununuliwa,na isiyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,ni siri ya maisha matamunakupenda mpenzi*°

·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*”Mimi sitaki kuwa kila kitu kwa kila mtu, lakini napenda kuwa kitu kwa mtu.na mtu mwenyewe ni wewe”nakupenda laazizi”Kama mimi nilikuwa na maua kila wakatimawazo yangu yangekuwa juu yako,nisingefikiri wa kumpa mwingine kabla yako je wewe ungekuwepo nayoungempa nani kwanza? 

“*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na likutumiwa vibaya halina maana wala thamani. neno hilo haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila tu Linatokea Bila kujua na halina sababu.neno hilo mi mwenyewe silijui ila ndo linatufanya tuwe pamoja Japo tupo Kasi Na Kusi. Nakupenda sana Dear Figganigga•·
.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• naukunjua moyo wangu huishi milele maishani ,nafungua nafsi nikupende wewe pekee,nafunga milango ya moyo wangu ili kutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yako mpenzi.nakupenda sana laazizi •
·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•sipo tayari kuukabidhi moyo wangu kwa mwingine zaidi yako,wewe ni wa pekee maishani mwangu mwenye kujua hisia moyoni mwangu mpenzi nipende daima pendo lako nitalienzi, nakupenda
 •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakini yanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala si njaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwa unaempenda•·.·
°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• mapenzi ni safari=unifanye nauli ya moyo, mapenzi ni maradhi=unifanye daktari ni kutibu maradhi yako,mapenzi ni kiu=niwe maji jangwani,mapenzi ni chakula=nikulishe maishani mwako na uwe asali moyoni mwangu•·.·

°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• wengi hupenda fanta kwa ladha yake,wengine hupenda pilipili kwa muwasho wake,wengine hupenda asali kwa utamu wake ila mimi nakupenda wewe kwa upendo wako.•

·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• nimetuma ndege wangu auzunguke ”moyo” wako kwa ” upendo ” auguse ”uso” wako kwa ”faraja” na mwisho akunong’oneze sikioni taratibu kuwa nakupenda.

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi ni zawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyo wangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana Figganigga•·

.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• teke la kuku halimuumzi mwanaye sawa na dhati ya mapenzi haiumzi moyo wa ampendaye,tugombane sasa hivi tupatane badaye,najua hakuna wasiogombana ,kama wapo siku wakigombana wataachana.

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• yapitayo mdomon yametokea moyon,uyaonayo hadharani nimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wa yakini. 

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• nakupenda sana mpenzi wangu ,we ndo wa pekee mwenye kujua furaha ya moyo wangu nikiwa na majonzi huwa upo karibu nami,nikiwa na furaha huja kushea nami,ahsante wangu tabibu ,we ndo wangu wa manani.

•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapo huhitaji uwepo wako na hasa nikukumbukapo kumbato lako,nakupenda mpenzi
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• Furaha yangu ni kuwa nawe kwani u zaid ya mboni yangu,najisifu kuwa nawe maishani mwangu naamini itatokea kutokuwa mbali nawe mpz wangu,unisahaulishe machungu na karaha za huu ulimwengu .nakupenda dia


•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·• 

Post a Comment

أحدث أقدم