🌹Kukupenda ndicho nachojua

 

♥️upendo wako ndio nacholingia 🥰 tabasamu lako ndio nalo jivunia 💞Mahaba yako ndio nayojisifia 💕Penzi lako ndilo nalonyenyekea 🥀 hisia zako ndizo zinazonifariji 💞 uwepo wako kwangu ndio ninaofurahia 💞
💕Ewe kipendwa cha roho yangu 🥰kukukosa wewe si kitu nachofikiria 😍 kukuthamini wewe ndio kipaumbele changu 💞 kukujali wewe ndio kazi yangu ♥️Kukupenda wewe ndicho nachojua 😋
💗Ewe lazizi wa moyo wangu ♥️sina amani nionapo huna furaha 😊 najihisi si chochote nisipo ona meseji yako ☹️ hua najihisi mzito nisipo sikia sauti yako ♥️ewe kipenzi changu
💞Najiuliza ni nini umenipatia kipenz changu 💕najiuliza ni kipi chanifanya niweze kukufiria na kukuwaza wewe tu 🥰 najiuliza why siwezi bila wewe kipenz changu 💗 lakini jibu ni moja tu 🌹🥀 moyo wangu umetekwa na hisia zako 💞💓 love you more than how you feel to me🥰
No photo description available.

Post a Comment

أحدث أقدم