SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi


TABIANCHI: Picha: Jua likizama kwenye mawingu

Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu
Ndilo sababu ya nguvu yangu
Tangulia pembeni mwa macho yake
Asubuhi hii hadi usiku ujao

Post a Comment

Previous Post Next Post