SMS TAMU ZA USIKU MWEMA


Neno ” USIKU MWEMA” halimaanish kuwa ni mwsho wa cku,
bali ni njia yakukuonyesha kuwa nakukumbuka kabla cjalala,
nadhan unatambua thamani yako kwangu, usikumwema
…………………
UPENDO si ndege ukaonekana angani,
UPENDO si tunda lichumwalo mtini,
UPENDO si wimbo ningekuimbia, UPENDO si vazi ningekushonea,
UPENDO  si picha yangu ningekutumia bali
UPENDO ni thamani iliyoko moyoni mwangu.
nakupenda na nakutakia usku mwema.

Post a Comment

أحدث أقدم