Ujumbe wa asubuhi njema

Sms MPYA: ASUBUHI HII MTUMIE MPENZI WAKO SMS HIZI TAMU
Unaamka asubuhi unakuta missed call saba kwenye simu yako,
1. Anayekudai
2. Unayemdai
3. Baba yako
4. Mama yako
5. Kaka yako
6. Dada yako
7. umpendae, Je utaanza kumpigia yupi ?
..........................

  Neno "ASUBUHI NJEMA" ni dogo sana lakini huwezi kulipata kwa asiye kujali, kukukumbuka na kukupenda, lakini mimi naona umuhimu wa kukutakia
"ASUBUHI NJEMA. JE, UMEAMKA SALAMA? si lazima ujibu kwa meseji! hata ukitikisa kichwa tu inatosha!


Post a Comment

أحدث أقدم