Nimekutana na wazuri wengi wanaovutia wengi, nimekutana na matajiri wengi wenye sifa za kuhonga, nimekutana na matapeli wengi wa mapenzi wanaojaribu kunitapeli. Lakini kila wanaponitaka nawaambia moyo wangu ni mmoja na una nafasi ya mmoja ambaye ni wewe niliyekuhifadhi siku zote hadi nitakapoaga dunia.
**********
Naomba nafasi ya mwisho katika penzi letu, kosa nililofanya naomba liwe kosa endapo nitarudia, mpenzi usiniache kwani utanitesa maishani mwangu. Hakuna binadamu aliyekamilika, nipe nafasi ya kukuhudumia katika chumba cha mahaba. Hakika utaridhika na tiba yangu.
Post a Comment