upendo wako ndio nacholingia tabasamu lako ndio nalo jivunia Mahaba yako ndio nayojisifia Penzi lako ndilo nalonyenyekea hisia zako ndizo zinazonifariji uwepo wako kwangu ndio ninaofurahia
Ewe kipendwa cha roho yangu kukukosa wewe si kitu nachofikiria kukuthamini wewe ndio kipaumbele changu kukujali wewe ndio kazi yangu Kukupenda wewe ndicho nachojua
Ewe lazizi wa moyo wangu sina amani nionapo huna furaha najihisi si chochote nisipo ona meseji yako hua najihisi mzito nisipo sikia sauti yako ewe kipenzi changu
Najiuliza ni nini umenipatia kipenz changu najiuliza ni kipi chanifanya niweze kukufiria na kukuwaza wewe tu najiuliza why siwezi bila wewe kipenz changu lakini jibu ni moja tu moyo wangu umetekwa na hisia zako love you more than how you feel to me
Post a Comment