Home My Dear 💙💙💙 TEE March 29, 2023 0 #My_dear raha unipatiazo asili ya kitu ganiUtamu wa chacklet penzi unipatialoAu niseme ni keki kwa ladha niipatayoSi pipi si biskuti zanichanganya rahazoWala sio biriani kwa yake mapocho pochoNi raha zisokifani napata kutoka kwakoSibanduki abadani nikaacha huba zakosina pakuelekea kwako wewe nimefika kama ungekua jua niko radhi kuchomekaSina njia ya kukukwepa sion jinsi ya kukuepuka kama ni mkuki moyoni umeshanikitaJicholangu sipepesi kuangalia wapili Ni wewe pekee ulieniteka hisia na kiliNandio maana na kupenda upendo wa kweli My loveMy sweet baby My heart wangu horny Wanipagawisha kwa mapenzi ya kipwaniWanipagawisha hadi naropokwa hadhaniNakupenda sana LoveLoveBaby wangu maishaniAll
Post a Comment