Vipi hali wangu sweetheart
Mwenzio hali sio shwari usingizi sipati
Siku moja kukuona nikosapo sana unanitesa
Babe
fanya hima urudi mwenzio bila yako amani furaha nakosa
"
Kwa pamoja tukae tukipunga upepo

Mahabba unipatie yalo matamu
kama Apple
Kwa sana nifurahie kwa wako uwepo
z
Itabidi niwe karibu nawe my love mate 
kwa pamoja tuonyeshane mapenzi ya dhati sio ya kuact
Uje uutibu wangu mtima
Sio siri nakumiss
Mpka nahisi pumzi zinataka kusimama.

Nakusubiri kwa hamu natumai 
utanielewa kwa jinsi ninavyokumiss 
ujumbe utakaposoma
Post a Comment