๐Ÿ’žMAHABA YA KIPWANI MATAMUUU๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž ๐Ÿ’ž ๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ‘ŒUNAJUA JINSI YA KUMUANDALIA BWANA CHAKULA CHUMBANI KWAKO.....???

Smiling african american young woman cuddling happy husband, sitting on cozy sofa in living room at home, using tablet together, shopping or watching funny movies, photos, spending free weekend time. Stock Photo - 129450571

 
๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œleo nataka nikufundishe mwari mahaba matamu yanayomgandisha mume ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ katika maisha yako ya ndoa lazima uwe mbunifu upo nyonyo....????๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ tafuta kawa lako na sinia kubwa kiasi na upepeo wako....na mswala wako....๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œsafisha nyumba au chumba chako...fukiza udi chukua kanga zako nyeupe zifukize udi vizuuri funga mlango wako anza mapishi sasa ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œpika chakula anachokipenda bwana kuwa makini unapopika hakikisha kinakuwa kizuri ๐Ÿ’ž๐Ÿ’žzingatia muda wa bwana kurudi ili ale chakula cha moto ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ ukimaliza andaa sinia lako ๐Ÿ™„ weka bakuli la maji ya kunawa na jagi lake, kisahani wekea sabuni ya kunawia mikono na kitaulo cha kufutia mikono๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž vikombe 2 na sahani bakuli inategemea chakula ulichopika utaandaa trey weka jagi la maji ya kunywa na glass 2....hahahaha ....patamu hapo ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ๐Ÿ‘Œ tandika mswala wako bibi weka sinia lako lifunike vizuuri na jawa lako lenye ujumbe wa maneno.....๐Ÿ‘Œ weka vitu vyako vyote...... ukimaliza hakikisha ukiingia ndani hutoki mpaka bwana aje ๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž nenda kaoge mama vizuuri ukimaliza jipambe kidogo...jitie maa aluudi yako na parfum zako unukie haswaa kiuno kina shanga....๐Ÿ‘Œ
chukua chetezo tia udi wako jifunge kanga yako moja tuu jeupe upande mwengine muwekee bwana, chuchumaa jifukize udi
๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ˜ ukimaliza kaa umsubiri bwana ๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’žmwandae bwana akaoge akirudi chumbani mfute maji mvalishe kanga yake mfukize udi muweke kwenye mswala mwambie karibu mume wangu chakula ๐Ÿ’ž๐Ÿ‘Œmnawishe mikono you unamuangalia usoni kwa jicho la mahaba chukua tonge mlishe na yeye atakulisha mpe maneno matamu ๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž๐Ÿ’ž hayo ndio mahaba ya pwani upo nyonyo?????

Share: 

Post a Comment

ุฃุญุฏุซ ุฃู‚ุฏู