♥️NAKUMISS



🥀🥀Hello wangu wa dhati
Vipi hali wangu sweetheart♥️
Mwenzio hali sio shwari usingizi sipati
Nateseka kwa wako umbali my sweet🌺🌺


🌹🌹Sekunde moja bila uwepo wako kwangu ni kama saa 🌷s🌷
Siku moja kukuona nikosapo sana unanitesa
Babe🥀🥀 fanya hima urudi mwenzio bila yako amani furaha nakosa🌹🌹"

🌹🌹Natamani nipae nije hadi ulipo🌻🌻
Kwa pamoja tukae tukipunga upepo🌷🌷
Mahabba unipatie yalo matamu🥀🥀 kama Apple
Kwa sana nifurahie kwa wako uwepo🌹🌹z

🥀🥀Kukuita sweet haitoshi radha yako tamu siipati🌺🌺
Itabidi niwe karibu nawe my love mate 🌹🌹kwa pamoja tuonyeshane mapenzi ya dhati sio ya kuact🌻


🌷🌷Fanya urudi kwangu hima💐💐
Uje uutibu wangu mtima
Sio siri nakumiss🌼🌼 Mpka nahisi pumzi zinataka kusimama.🌷🌷
Nakusubiri kwa hamu natumai 🌺🌺utanielewa kwa jinsi ninavyokumiss 🥀🥀ujumbe utakaposoma🌹

Post a Comment

أحدث أقدم