Sms nzuri za mchana mwema.

Sms MPYA: SMS TAMU ZA KUMTAKIA USIKU MWEMA MPENZI WAKO

(‘-‘) Unatabasamu

(!.!) Unalia

(‘;’) Una hasira

(‘:’) Kuna mtu amekuboa

(‘.’) Unajivunia

(‘o’) Una hasira

(‘?’) Umechanganyikiwa

(-.-) Unasikia usngz

Napenda kukupa company ukiwa vyovyote🙂

Mchana mwema.


Nimezunguka pande zote za Tanzania macho
nikiyaangaza
kumsaka mrembo
wakumkabidhi wangu moyo wenye upendo
ndani yake na kulila
TUNDA lake
kwa nafasi huku nikimpa mahaba ya dhati na sikuwahi kuhisi
kama wewe ndiye
ulie uteka moyo wangu.
nakupenda laaziz
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•

Post a Comment

Previous Post Next Post