Kama mimi ni mfalme katika himaya yangu, basi himaya yangu haiwezi kukamilika kama wewe hautakuwa kando yangu kama malkia.
Kama ningepewa nguvu za kuweza kurudisha kumbukumbu za awali, basi ningerudisha hadi ile siku ya kwanza nilipokuangalia machoni na nikakuangukia kwa kukupenda. Nakupenda mpenzi wangu.
Nilikuwa nakumiss hivyo nikaanza kuhisabu nyota ili niweze kutaja sababu zote ambazo zinanifanya nikumiss. Cha kushangaza nikuwa nimehisabu nyota zote nikamaliza lakini bado sababu niko nazo.
Post a Comment