Messages

 


Moyoni mwangu hutoki nakuomba ukubali, nawala 
sibadiliki hilo kwangu ni muhali, si km 
sikukumbuki zimenijaa shuhuli, ww kwangu si 
rafiki ni ndugu nnaekujali
.........
Ewe ulo2lizana chaguo la moyo wng kila 
nnapokuona huniondoka machungu tabia zako 
mwanana zmeuteka moyo wangu yoyote atakaekuona 
mwambie ww ni wangu
.......
Moyo unasikitika hauto acha daima. Machozi 
yatiririka siusiku si mchana. Huzuni imenishika 
kwa vile sijakuona 

1,nuru humfariji aliye na huzuni  
  2 ni jahazi huvusha aliye ng'ambo                        
     3,pia ni nuru huangaza gizani,
 wewe ni lulu yangu nakupenda xana,
......................
  "Umbali si shari ila kujua hali ni mali",
 "jambo la wema ni asali ukimya ni ajali", 
"japo nipo mbali thamani yako kwangu ni kama medali"
I LOVE U
.................

Post a Comment

Previous Post Next Post