Sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbali nami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayeweza kukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu!
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Kamwe siwez kuacha kukupenda,utaendelea kujificha moyo mwangu siku zote za maisha yang,maana wewe ndiye mhimili wa maisha yangu,tafadhal naomba unipende milele!
Post a Comment