Mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirisha pale unapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchungu wake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je?
•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Pendo ni silaha kali zaidi duniani hu uwa wasio na hatia na hujeruhi bila kutarajia,wengine hujitolea muhanga nayo ,silaha hiyo itumikapo vizuri huleta marafiki na kuongeza furaha,je we unaitumiaje silaha hiyo?
Post a Comment