Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba sili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidi kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo
.•·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Pongezi kwako mpenzi kuwa wangu mtetezi kwenye jahazi la mapenzi,ufundi na ujuzi unao hasa tuwapo wawili chumbani.penzi lako halichakai daima huzaliwa upya.
•·. •·.·°¯`·.·•*•·.·°¯`·.·•
Post a Comment