WANAUME, MSIKIE SASA!

 

HUWEZI KUMPOTEZA MWANAMKE kwa sababu zifuatazo...
1. Huwezi kumpoteza mwanamke wako kwa sababu unatafuta pesa. Unampoteza mwanamke wako kwa sababu humtumii pesa au unamtumia kidogo sana lakini unapendelea kula bata zaidi wanawake wa nje.
2. Huwezi kumpoteza mwanamke wako kwa sababu uko bize na kazi lakini utampoteza kama huwezi kupata dakika chache kwenye ratiba yako ya kazi ili kumtafuta kumjulia hali, na kujua maendeleo yake.
3. Hutampoteza mwanamke wako kwa sababu hukupokea simu zake nyingi, utampoteza mwanamke wako kwa sababu huwa unashindwa kumpigia tena unakuta missed calls zake.
4. Hutampoteza mwanamke wako kwa sababu unamkemea na kumrekebisha bali utampoteza mwanamke wako kwa sababu huwa unamfokea na kumrekebisha hasa kwenye maeneo ya watu.
Kumbuka! Mwanamke anampenda mwanaume anayempa muda wake, kumjali na kumdekeza
🍏Daktari wa Mahaba🍏.😊😊
May be an image of 1 person and child

Post a Comment

Previous Post Next Post