1 Mafanikio hayaambukizwi kwa ngono, acha kulala na wanaume waliofanikiwa badala yake fanya kazi kwa bidii.
2 Tafadhali usivae nguo moja kwa miezi 9 huo sio ujauzito.
4 Acha kusema huwezi kudate na mwanaume anayeishi na mama yake wakati huo unadate na mwanaume anayeishi na mke wake.
5 Usiangalie mwanaume anaendesha nini ila angalia kinachomwendesha
6 Kabla ya kusema mwanaume fulani ana sura mbaya, kumbuka kuwa 95% ya uzuri wako unaweza kuondolewa na taulo.
7 Ukiwa chuo unadate na mwanaume aliyeoa, ukiolewa unasema huwezi kushare mume, relax dada yangu ni muda wa kulipa.
8 Mwisho kabisa jifunze kumwita na kuomba busara na hekima kwa Mungu, sio kwa majirani.


Post a Comment