SMS TAMU ZA USIKU MWEMA.

 Neno " USIKU MWEMA" halimaanish kuwa ni mwsho wa cku,

bali ni njia yakukuonyesha kuwa nakukumbuka kabla cjalala,
nadhan unatambua thamani yako kwangu, usikumwema
.....................
UPENDO si ndege ukaonekana angani,
UPENDO si tunda lichumwalo mtini,
UPENDO si wimbo ningekuimbia, UPENDO si vazi ningekushonea,
UPENDO si picha yangu ningekutumia bali
UPENDO ni thamani iliyoko moyoni mwangu.
nakupenda na nakutakia usku mwema.
....................................
Hisia njema na nzuri ni pale unapodhani nimekusahau
na kukutenga na ghafla ukapata ujumbe wangu kuwa
ninakukumbuka,ninakujali na kukuombea, ucku mwema
.....................................
. Nikisema
"-.-" "m2 muhimu"
Namaanisha
M2 namthamini,
M2 namjali,
M2 nampenda,
M2 namheshim
M2 huyo c mwingine ila ni ww ninayekutakia
USIKU MWEMA.
................................


Post a Comment

Previous Post Next Post