SMS NZURI YA KUMTAKIA MPENZI WAKO USIKU MWEMA


Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naombe ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA

...................

Nmechoka kusimama hapa kusubiri sms yako ya kunitakia usiku mwema. Naenda zangu kulala miguu isije ingia ndani bure...!GD9T



Post a Comment

Previous Post Next Post