Usiku mwema.

 Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje.

Hodiiiiii, Hodiiiii,

Tunaomba tufungulie Mlango,, sisi tunaitwa FURAHA, AMANI na UPENDO. Tumebeba HEKIMA, BUSARA na MAFANIKIO.

........................

  Mimi si Milionea, ila TAJIRI 

wa MOYO MKUNJUFU!

Mie si zaidi,

 ila nafanya NIWEZALO!

Sifanyi 

sahihi kwa kila jambo,ila kwa hili

 nipo sahihi Kukutakia usiku mwema.



Post a Comment

Previous Post Next Post