SMS ZA KUOMBA MSAMAHA KWA MPENZI WAKO

 Watu hufanya ubahili katika pesa, si katika mapenzi la azizi, sielewi kwa nini umeadimika siku hizi, si sms, simu jamani hata beep sizipati siku hizi! Nakupenda sijui kwa nini umedadilika siku hizi.


Mtu gani usiye ridhika nimekupa hadi sisivyo simulika, lakini huishi kuhangaika, kutwa kugaagaa na upwa, kumbuka mgagaa na upwa hali…., hakika Mungu atakupa unachokitafuta, wewe hangaika.\



Post a Comment

Previous Post Next Post