Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! “NAKUPENDA MALAIKA WANGU”
*°·.¸¸.° ♥ °·.¸¸.°*
Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, amahakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu “SINTOMPENDAMWINGINE ZAIDI YAKO”
Post a Comment