SMS ZA KUSISIMUA - MESEJI TAMU ZA KUMTUMIA UMPENDAYE.

 


  

Ninahesabu muda mpaka pale nitakapo pata busu lako tamu.

Hakuna mtu aliyewahi kuwa karibu nami na akanifanya nijiskie raha kama unavyonifanya nijiskie.

Kila siku tunapokuwa pamoja naona ninaishi ndoto yangu ya siku nyingi.






Post a Comment

أحدث أقدم