Mchana mwema kwa mpenzi wako

 Dhamira kuu ya Moyo wangu

ni Mapenzi, kukupenda kwa
dhati bila kipingamizi, kuishi
nawewe kihalali kwa kudra za
wazazi, Nipende nikupende
Tudumishe Mapenzi.
“NAKUTAKIA MCHANA
MWEMA MPENZI WANGU



Post a Comment

Previous Post Next Post