SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema

 

 SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema


Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA

Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu Ndilo sababu ya nguvu yangu Tangulia pembeni mwa macho yake Asubuhi hii hadi usiku ujao

Uko wapi wangu malkia, mwenzio hamu nasikia nawe ndiye ujuwaye hamu kunitoa, tafadhali dear upatapo msg hii tambua nyumbani nakusubiria! Luv u






Post a Comment

Previous Post Next Post